Elections 2010 Wajue Vijana 30 'wasomi' waliotumwa na JK Kukusanya saini za 'wadhamini' wa JK

Elections 2010 Wajue Vijana 30 'wasomi' waliotumwa na JK Kukusanya saini za 'wadhamini' wa JK

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
675
Mjumbe wa Kamati Maalum, Mariam Ukiwaona Ditopile Mzuzuri ( kushoto)akiikagua kadi ya CCM ya Mwanachama , Mzee Athuman Mohamed Dume ( kulia) wa CCM Tawi la Fulwe, Kata ya Mikese, Wilaya ya Morogoro kabla ya kukubaliwa kudhamini fomu ya mgombea wa kuomba kuteuliwa na CCM katika nafasi ya Urais wa Tanzania kwa miaka mitano , Rais Jakaya Kiwete ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, zoezi hilo lilifanyika Juni 22, mwaka huu.
 
jamani tuwe tunaweka 'titles' zinazoendana na post sasa vijana 30 wasomi na huyo babu wapi na wapi tafadhalini.
 
1. Ridhiwan Jakaya Kikwete
2. Mariam Ukiwaona Ditopile wa Mzuzuri
3.........................................................
4.........................................................
tuendelee.....
 
1. Ridhiwan Jakaya Kikwete
2. Mariam Ukiwaona Ditopile wa Mzuzuri
3.........................................................
4.........................................................
tuendelee.....
1. Ridhiwani Kikwete (qualifications)
2. Miriam Ditopile (qualifications)

Sio majina tu na qualifications zao pia tunaomba kaka.
 
Hii ndio naiita mkakati mbadala, baada ya kuona hakubaliki na wafanyakazi, wanasiasa, na middle class mkulu kaamua kauibuka na shikamoo Jazz, wazee ( kumbuka mkutano wake Diamond Jubilee kuhusu Tucta) na Yosso ( Dodoma maandamano ya kumuunga mkono na mkakati wa kukusanya sahihi za wadhamini).
 
Vijana 30?
Wonderful!

Ridhiwan - First Degree at UDSM

Miriam Dito - ??
 
Alexander Nchimbi - Katibu wa Kamati ya Kusajili wadhamini Kanda ya Mashariki
 
Shughuli kama hizi Shyrose Bhanji hawezi kosekana!
 
Amir Madega
Rajabu Katunzi

Wote ni wajumbe wa Baraza kuu la UVCCM, mkuu shadow weka list hii kwenye thread ya mwanzo mpaka tupate majina yao yote..!
 
Utafuniwe na umezewe...! jishughulishe baba...!
Post inazungumzia vijana 30 wasomi wanaomtumikia JK, umeleta majina mawili wamesoma nini tena unaniambia nitafute. Mfano Ridhiwani amekua akiitwa msomi kwa muda amesoma nini hoo haaa sijui hee. Leo sijui ana wadhifa gani sijui UVCCM, kesho mmbunge mara waziri kwanini atuendelei ni upuuzi kama huu kuwaita ma dunce wasomi wakija pewa senstive post wana boronga kama baba zao.

So far naona majina ya privileged kids no qualifications no achievements za mchango wowote. Kabla ujamwita mtu msomi jua mchango wange kwanza katika usomi wake vinginevyo sema ana elimu, awe hata na Phd.
 
Una hoja nzuri ila suala la "wasomi" limeripotiwa sana na magazeti kwahiyo muanzisha thread alitaka tupate majina ya hao wanaoitwa "wasomi" halafu ndio tuone usomi wao. Ila hatua ya kwanza ni kuwatambua kwanza , labda tumshauri muanzisha thread aweke quotation mark kwenye neno wasomi kuashiria kwamba ndivyo wanavyoitwa ila sio opinion yake.
 
thats whats up!
 
Back
Top Bottom