omarilyas JF-Expert Member Joined Jan 24, 2007 Posts 2,130 Reaction score 150 Jun 24, 2010 #41 Magezi said: halafu magharasa hayo hayo ndo yatapewa ubunge wa kuteuliwa .......Tanzania bwana?? ....acha tu. Click to expand... Kaka umetumia vigezo gani kuwaona kuwa ni magarasa? Majina yao ya mwisho tu ama kuna vigezo vingine? Omarilyas
Magezi said: halafu magharasa hayo hayo ndo yatapewa ubunge wa kuteuliwa .......Tanzania bwana?? ....acha tu. Click to expand... Kaka umetumia vigezo gani kuwaona kuwa ni magarasa? Majina yao ya mwisho tu ama kuna vigezo vingine? Omarilyas
M Mdondoaji JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 5,108 Reaction score 1,137 Jun 24, 2010 #42 Hivi kila muislamu ni garasa? Huu si udini?
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Jun 24, 2010 #43 Shadow said: No worries Mkuu De Novo, So far tumepata hawa hapa: 1. Ridhwani Kikwete 2. Amir Madega 3. Rajabu Katunzi 4. Mariam Ukiwaona Ditopile Mzuzuri 5. Benno Malika 6. V. Mzindakaya 7. Vicky Makata 8. Bashe 9. A. Nchimbi Click to expand... Shadow tunaomba haya majina uingie kwenye post yako ya kwanza kabisa amend / add hapo mkusanyo huu wa majina..Jinsi majina yanavyoongezeka unaendelea kuongeza kwenye post ya kwanza nadhani Ita-make sense ..
Shadow said: No worries Mkuu De Novo, So far tumepata hawa hapa: 1. Ridhwani Kikwete 2. Amir Madega 3. Rajabu Katunzi 4. Mariam Ukiwaona Ditopile Mzuzuri 5. Benno Malika 6. V. Mzindakaya 7. Vicky Makata 8. Bashe 9. A. Nchimbi Click to expand... Shadow tunaomba haya majina uingie kwenye post yako ya kwanza kabisa amend / add hapo mkusanyo huu wa majina..Jinsi majina yanavyoongezeka unaendelea kuongeza kwenye post ya kwanza nadhani Ita-make sense ..
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Jun 24, 2010 #44 Mdondoaji said: Hivi kila muislamu ni garasa? Huu si udini? Click to expand... WATU WAMEZUNGUMZIA SURNAME... WE UNALETA UDINI!!!! watu wengine nama sijui vipi??
Mdondoaji said: Hivi kila muislamu ni garasa? Huu si udini? Click to expand... WATU WAMEZUNGUMZIA SURNAME... WE UNALETA UDINI!!!! watu wengine nama sijui vipi??
M Mdondoaji JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 5,108 Reaction score 1,137 Jun 24, 2010 #45 De Novo said: WATU WAMEZUNGUMZIA SURNAME... WE UNALETA UDINI!!!! watu wengine nama sijui vipi?? Click to expand... Mkuu nakubali nimekosea nimemfahamu vibaya Magezi anyway going back to the issue anaushahidi gani waliotajwa hapo juu ni Magarasa!!!!
De Novo said: WATU WAMEZUNGUMZIA SURNAME... WE UNALETA UDINI!!!! watu wengine nama sijui vipi?? Click to expand... Mkuu nakubali nimekosea nimemfahamu vibaya Magezi anyway going back to the issue anaushahidi gani waliotajwa hapo juu ni Magarasa!!!!