Wajue Waasisi wa chama kinachoisumbua serikali na kuifanya isilale

Wajue Waasisi wa chama kinachoisumbua serikali na kuifanya isilale

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

IMG_20200527_142045.jpg
 
Serikali ya Magufuli ni jasiri kwa kila kitu ila linapokuja suala la Chadema serikali inageuka kama mbwa kwa chatu.
Chadema imewahofisha hawa watu hadi kufikia mahali wakubali kuivunja katiba ya nchi ili kukabiliana na Chadema.
Hii listi ya waasisi ilikuwa kweli na maono ya karne moja mbele.

Hongera zao popote kule waliko.
 
George Weah kaanza siasa 2004 na sasa ni Rais wa nchi akitokea upinzani.

Wengine toka 1992 cha kujivunia ni kuisumbua serikali pekee!
 
Chadema ndo chama cha upinzani halisi, hao wengine ni mawakala wa ccm hasa Nccr mageuzi na Tlp
 
Ukisema ''wajue'' inatakiwa utoe wasifu wao sio kutaja majina, Naanza kama ifuatavyo
1. Edwin Mtei alikuwa Gavana wa kwanza wa BoT kabila Mchaga
2. Bob Makani aliwahi kuwa Gavana msaidizi wa BoT na mwanasheria mkuu wa serikali kabila Msukuma
3. Edward Barongo alikuwa mkuu wa mkoa kwanza wa mkoa wa Kilimanjaro na naibu waziri wa Kilimo kabila Mhaya
4. Martin Kavugha
5. Brown Ngwilulupi baba mkwe wa lemutuz kabila Mnyakyusa
6. Costa Shiganya (sifahamu wasifu wake ila ni kutoka Kigoma)
7. Philemon Ndesamburo Kiwhelu alikuwa mwanasiasa kabila mchaga
8. Col. Geoffrey Ishasho Marealle alikuwa kanali wa JWTZ kabila mchaga
9. Bi Mary Kabigi ........
10. Kassim S. A. Mfinanga ....
11. Michael John Shang'a ....
12. Victor P. Kimesera . .....
 
😂😂😂😂That is a very good idea Gorgeous. To quote you with positive vibes only. Negativity is not your cup of tea 👍🏽
Yes!yeeeees!positivity onlyyyy!😆😆
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom