Ukisema ''wajue'' inatakiwa utoe wasifu wao sio kutaja majina, Naanza kama ifuatavyo
1. Edwin Mtei alikuwa Gavana wa kwanza wa BoT kabila Mchaga
2. Bob Makani aliwahi kuwa Gavana msaidizi wa BoT na mwanasheria mkuu wa serikali kabila Msukuma
3. Edward Barongo alikuwa mkuu wa mkoa kwanza wa mkoa wa Kilimanjaro na naibu waziri wa Kilimo kabila Mhaya
4. Martin Kavugha
5. Brown Ngwilulupi baba mkwe wa lemutuz kabila Mnyakyusa
6. Costa Shiganya (sifahamu wasifu wake ila ni kutoka Kigoma)
7. Philemon Ndesamburo Kiwhelu alikuwa mwanasiasa kabila mchaga
8. Col. Geoffrey Ishasho Marealle alikuwa kanali wa JWTZ kabila mchaga
9. Bi Mary Kabigi ........
10. Kassim S. A. Mfinanga ....
11. Michael John Shang'a ....
12. Victor P. Kimesera . .....