Elections 2010 Wajue wapinzani mahiri waliokaliwa kooni majimboni

jimbo la mbezi lipo mkoa gani? wagombea uliowataja wanagombea jimbo la Kawe Dsm. kwa taarifa yako mbatia anagawana kura na ccm na kumuachia njia nyeupe Halima. sisi tupo huku jimboni wewe umesimuliwa na Kinana na redet yenu. mbatia anaona aibu huku, amepaka marangi picha za Halima lakini haita msaidia kitu maana tunamjua Halima akiwa nasi miaka kadhaa iliyopita. mbatia anatafuta justification ya kula pesa za chama chake kupitia kugombea hapa Kawe ila anajua anapoteza muda....jana nimesikia eti anasema atakubali matokeo? matokeo yepi atakayopata? wenzio wanaikampenia ccm waziwazi naona yeye anasubiri siku zikibaki chache ili afanye kama chama cha wakulima zanzibar kinakampenia ccm pemba,tlp inakampenia ccm bara...watajiunga wote kama walivyofanya jimbo la iringa lakini bado hamfiki popote mpaka mtakapoacha unafiki na kujiunga na upinzani wa kweli.
 
tumeamua kumalizana wapinzani na kuachia ushindi kwa ccm kiulaiiini!!!. Tusilalame!
Tukishauri tusimamishe mgombea mmoja wa upinzani, ubinafsi unatawala. Kwa mtaji huu, tutakiondoa chama tawala madarakani kweli???
 
Mkuu nashukuru kwa sahihisho lako ni jimbo la kawe si mbezi
halima hana cha kuupoteza anajua ana nafsi viti maalum,ndio maana inaonekana kama anamvurugia Mbatia
 
Mkuu nashukuru kwa sahihisho lako ni jimbo la kawe si mbezi
halima hana cha kuupoteza anajua ana nafsi viti maalum,ndio maana inaonekana kama anamvurugia Mbatia
...labda mbatia ndo anategemea viti maalum,Halima anashinda Kawe
 
Malaria Sugu una ID ngapi?
Mkuu ndio matatizo yenu haya hamjiamini kabisa, hivi huyu ms anawanyima kabisa usiingizi
Big up MS nimeikubali kazi yako watu hawalali ni MS tu
 
huu ni ujinga na upumbavu wa elimu..

wewe subiri tarehe 31oct10 utajua nani mshindi..

wewe sema CCM sema Jk ila utajua nini kinachoendele 01 Nov.. wakati watanzania watakaposema uamuzi wao....
 
Zitto na Demokrasia
 
Nilimsikia yule mgombea wa CCM kawe,jamani yaani ni bure anachokisema hata ukimuanagalia machoni hakijui! yaani awe mbunge yule ni aibu kubwa.uwezo wake ni mdogo sana na anaonekana ni shangingi flani hivi.tutalinda kura na pia tutapiga kura.
 
Mkuu naheshimu sana mawazo lakini hapo kwenye red umeharibu
 
Hongera mzee CCM kujenga hoja zizizokuwa na ukweli ili kuhakikisha watu walio na mapenzi bora na nchi hii wanakata tamaa na kugeuka ili kuipigia kura CCM. Wewe kwa hakika siyo mzalendo hata kidogo.
 
asante kwa taarifa, hata hivyo hakuna aliyekuomba taarifa hiyo!
 
:llama::llama::llama::llama:
Mkuu ndio matatizo yenu haya hamjiamini kabisa, hivi huyu ms anawanyima kabisa usiingizi
Big up MS nimeikubali kazi yako watu hawalali ni MS tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…