Wajue watangazaji vimeo

Wajue watangazaji vimeo

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Kifo cha Nyaisanga kinatukumbusha jinsi idadi ya watangazi mahiri inavyozidi kwisha na kubaki na kundi la vimeo. Watangazaji vimeo ni pamoja na,. .. Said Kilumanga, Kipanya Orest Kawau ( magic fm), Abdala Mwaipaya na Kitenge (redio one), Akilimali, Anord Kayanda, Mwabulambo, Chilewa, Maestro na wengine wengi.. Hawa uwezo wa lugha na upeo ni mdogo lakini wana mbwembee. Taja wengine..
 
Mhhh makubwa labda ulitaka kuandika watangazaji mahiri ukajikuta umeandika vimeo.kwahyo ww katika woooote vimeo tuwajuwao hawa ndio umeona uwaweke front line.kweli ukostaajabu ya musa....
 
naona umefanya vicevesa ya wakali ndio ukawaita vibonde na vibondo kama kibonde ukawaacha
 
Weka wale jamaa machoko wa maghorofani(wafu fm) ila mtoe milard ayo na regna.
 
ivi yule mbwiga mbwiguke anajua hata kusoma na kuandika kweli???? au kuchekesha tu ndo imempa kazi kweli utangazaji kila mtu anaweza maadam ujue tu mbwembwe na uongo uongo!!
 
Hivi kuna mtangazaji mahiri wa kipindi cha sports kumzidi Maulid Kitenge?

Mijitu mingine bwana ikivimbiwa inadhani JF ndio mahali pa kuja kujambajamba.

Lets be honest..tusitukane tu wanaJamvi wanaochangia kisa tu labda una mapenzi binafsi na muongelewa. KITENGE huwezi kumuweka kwenye category ya watangazaji mahiri wa michezo. He has been on TV sijui tangu lini, lakini bado anastutter kila siku akitangaza habari. Anakosea mara nyingi tu akitangaza habari za michezo kimataifa, he is not doing 'homework' kupata information za kutosha na kutangaza akiwa confident! Hana analysis ya kimichezo kwenye taarifa zake, an kwenye mpira ni obviously anatangaza kishabiki kabisa which is soooo unprofessional...Kitenge sio mtangazaji mahiri wa michezo..kupata nafasi ya kutangaza kila siku hakukufanyi kuwa mahiri!
 
kitenge ni bonge la mtangazaji. Tofautisha kati ya mtangazaji na mchambuzi.

Mfano Kibonde, yule ni mchambuzi siyo mtangazaji, Millard Ayo mtangazaji.
 
Said Kiruamanga ni boya, anakosea sana habari, ana majivuno, upeo mdogo lakini mbwembwe nyiingi! Sijui hata kama analijua jina la waziri wa fedha! Mnaomtetea labda mnapenda sura yake! Kitenge mbabaishaji tu. Analazimisha kumuiga Charles Hilary
 
Wale watangazaji wa kipindi cha sport na magic,kuna Said kilumanga na yule mwingine loooo ,yaani hovyo kabisa.
 
mtoe milard fasta kabla cjakukamata nikukate kuganja nikakiuze mwanza.
 
Mi naona mleta uzi ajipange tu. Nina mashaka hawafahamu watangazaji wengi ndio maana kakurupuka, tumsamehe jamani.
 
Back
Top Bottom