Lets be honest..tusitukane tu wanaJamvi wanaochangia kisa tu labda una mapenzi binafsi na muongelewa. KITENGE huwezi kumuweka kwenye category ya watangazaji mahiri wa michezo. He has been on TV sijui tangu lini, lakini bado anastutter kila siku akitangaza habari. Anakosea mara nyingi tu akitangaza habari za michezo kimataifa, he is not doing 'homework' kupata information za kutosha na kutangaza akiwa confident! Hana analysis ya kimichezo kwenye taarifa zake, an kwenye mpira ni obviously anatangaza kishabiki kabisa which is soooo unprofessional...Kitenge sio mtangazaji mahiri wa michezo..kupata nafasi ya kutangaza kila siku hakukufanyi kuwa mahiri!