Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Uafrika ni mzuri sana, ila kuna mila na tamaduni nyingine hazifaiView attachment 1890859
Watu wanaojulikana kama Surma wanapatikana Ethiopia wanatamaduni ya kung'oa meno na kuchana mdomo wa chini
Zoezi hili hufanyika wakati wa kupevuka. Mwanamke atakayeweka sahani kubwa zaidi hulipiwa ng'ombe wengi kama mahari
Wanaume huchana midomo kuashiria wako tayari kuingi katika ndoa
View attachment 1890860
Una lips nzuri kinyama mamalai sio kama za hao washamba.[emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]unapigaje denda mkuu?
Sio kweli mkuu[emoji28]nina vichapati vile vi lipsi msambao[emoji126]Una lips nzuri kinyama mamalai sio kama za hao washamba.
Hebu nitumie nione usikute unanidanganya.Sio kweli mkuu[emoji28]nina vichapati vile vi lipsi msambao[emoji126]
Heeee[emoji15][emoji15]usiponiamini mimi nilonazo utamwamini Nani?hata picha huwa sipigi labda za ku download nikutumie!!Hebu nitumie nione usikute unanidanganya.
Eeeh tuma hizo hizo zinafaa.Heeee[emoji15][emoji15]usiponiamini mimi nilonazo utamwamini Nani?hata picha huwa sipigi labda za ku download nikutumie!!
Sio Kama bakuliDuh...
Midomo kama bakuli
Ova