Doctor Sebas
Member
- Jul 19, 2017
- 30
- 41
KWA NINI KIHARUSI MARA NYINGI HUTOKEA
BAFUNI AU CHOONI.
*Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza [emoji371]kuoga! Ni makosa makubwa haya, hii inasababisha kubadilisha hali ya ujoto katika mwili wako haraka sana (na miili yetu ina Damu ya [emoji621]moto) na hivi kufanya mishipa ya Damu* inayopeleka kwenye ubongo kuchanika na kupasuka na inahatarisha kwa binaadamu kupata kiharusi kwa haraka sana.
*Njia ya kweli ya mtu* kuoga ni kuanza kutia maji katika mwili au miguu kwanza kabla ya kichwa ili kuweza kuupa mwili uzowefu na kufanya usawa katika ujoto wa Damu.
*Sambaza kwa wote* uwapendao ili InshaAllah kunusurisha binaadamu kwa maradhi haya mabaya.
Sent using Jamii Forums mobile app