Wajumbe wa bunge maalumu la katiba wameanza leo kula kiapo cha uaminifu na sehemu ya mwisho ya kiapo hicho inasema, "... nitafanya kazi zinazonihusu bila upendeleo..."
Swali ni je, hawa walioingia kwenye bunge hilo na misimamo yao watafanya kazi kweli bila upendeleo?
Swali ni je, hawa walioingia kwenye bunge hilo na misimamo yao watafanya kazi kweli bila upendeleo?