and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Kuna kamchezo kazuri sana hapo.Kwa mabadiliko ya Katiba ya CCM yaliyopitishwa Jana tarehe 27/07/2025 Wajumbe hawana Nguvu tena ya kumpitisha Mgombea Ubunge/diwani wanayemtaka Bali kamati Kuu Taifa ndio itaamua Nani agombee. Poleni Wana CCM wemzangu. Kazi na Utu.
Kinyesi kichwani nenda kaharisheMabadiliko haya yamefanywa kwasabb Samia anataka kuweka wapemba kwenye majimbo ya Tanganyika
Kila jambo linafanywa kwasababu zake, m/kiti amesema kuna jimbo lina wagombea wenye sifa zaidi ya 10, tuache uongozi wa juu ufanye kazi zake. Kule wilayani wenye nguvu za pesa wamehonga sana, mwenyekiti ana nia njema hasa kwa vijana ambao hawana uwezo kifedha. Mama ana nia nzuri sana tumwunge mkonoKwa mabadiliko ya Katiba ya CCM yaliyopitishwa Jana tarehe 27/07/2025 Wajumbe hawana Nguvu tena ya kumpitisha Mgombea Ubunge/diwani wanayemtaka Bali kamati Kuu Taifa ndio itaamua Nani agombee. Poleni Wana CCM wenzangu.
#Kazi na Utu.#
Lucas Mwashambwa
Kwa hiyo Chama NI Mwenyekiti sio Katiba na Miongozo ya Chama?Kila jambo linafanywa kwasababu zake, m/kiti amesema kuna jimbo lina wagombea wenye sifa zaidi ya 10, tuache uongozi wa juu ufanye kazi zake. Kule wilayani wenye nguvu za pesa wamehonga sana, mwenyekiti ana nia njema hasa kwa vijana ambao hawana uwezo kifedha. Mama ana nia nzuri sana tumwunge mkono
Sasa mtu km Agrrey Mwanri amesahau nini, ni kuidhalilisha bunge kuwa ni sehemu ya kupumzikia na kumalizia uzeee siyo kwenda kufanya kazi.Pole Aggrey Mwanri umeshatemwa tayari
Katiba inasemaje?Sasa mtu km Agrrey Mwanri amesahau nini, ni kuidhalilisha bunge kuwa ni sehemu ya kupumzikia na kumalizia uzeee siyo kwenda kufanya kazi.
na nchi rais sio katiba, bunge na mahakama labda kidogo jeshi. zidumu fikra sahihi za mwenyekiti...Kwa hiyo Chama NI Mwenyekiti sio Katiba na Miongozo ya Chama?
Kidumu Chama Cha MapinduziKwa mabadiliko ya Katiba ya CCM yaliyopitishwa Jana tarehe 27/07/2025 Wajumbe hawana Nguvu tena ya kumpitisha Mgombea Ubunge/diwani wanayemtaka Bali kamati Kuu Taifa ndio itaamua Nani agombee. Poleni Wana CCM wenzangu.
#Kazi na Utu.#
Lucas Mwashambwa
Wewe unamsema mzee wa Toronto wakati mwana wa Masatu ndio katika wale wanne wanaoteua.Sasa mtu km Agrrey Mwanri amesahau nini, ni kuidhalilisha bunge kuwa ni sehemu ya kupumzikia na kumalizia uzeee siyo kwenda kufanya kazi.
Lo !Kila jambo linafanywa kwasababu zake, m/kiti amesema kuna jimbo lina wagombea wenye sifa zaidi ya 10, tuache uongozi wa juu ufanye kazi zake. Kule wilayani wenye nguvu za pesa wamehonga sana, mwenyekiti ana nia njema hasa kwa vijana ambao hawana uwezo kifedha. Mama ana nia nzuri sana tumwunge mkono
Tangu Dahari na dahari ! Kumbe ulikuwa hujui π³ ! Na pia ndiye Mkuu wa Nchi π !Kwa hiyo Chama NI Mwenyekiti sio Katiba na Miongozo ya Chama?