The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Yaani hiki kitendo cha kuitisha mikutano mitatu kwa siku moja yaani Kamati Kuu, Halimashauri kuu na Mkutano Mkuu ni dharau kwa Wajumbe na Wanachama wa CCM. Kwa mani yangu kinachofanyika hapa ni kikundi fulani kuleta agenda yao ili vikao halali vya chama ivipitishe. On top of that hata hayo mabadiliko hawajaambiwa ili wajiandae mpaka wakati wa Mkutano. Huko ni kuviziwa. Hii siyo sawa hata kama ni jambo zuri. Wajumbe wana haki yakujadili kwa uwazi.
Wanachama gani kwanza wamedai hayo mabadiliko??
CCM kwa mtindo huu ni kuzalisha udikiteita ndani ya chama.Yaani hiki kitendo cha kuitisha mikutano mitatu kwa siku moja yaani Kamati Kuu, Halimashauri kuu na Mkutano Mkuu ni dharau kwa Wajumbe na Wanachama wa CCM. Kwa mani yangu kinachofanyika hapa ni kikundi fulani kuleta agenda yao ili vikao halali vya chama ivipitishe. On top of that hata hayo mabadiliko hawajaambiwa ili wajiandae mpaka wakati wa Mkutano. Huko ni kuviziwa. Hii siyo sawa hata kama ni jambo zuri. Wajumbe wana haki yakujadili kwa uwazi.
Akikutajia naomba uni tag Mkuu!Wanachama gani kwanza wamedai hayo mabadiliko??
Nchi ina mambo hii.Waliwadharau Wananchi kwa muda mrefu sana ndiyo maana wanaitwa ‘waheshimiwa’. Huu ni munedelezo tu wa dharau kwa wananchi wote.
Kwanza kinafanyika kama.shughuli za jando na unyago. Uficho na siri usiokuwa wa kawaida.Yaani hiki kitendo cha kuitisha mikutano mitatu kwa siku moja yaani Kamati Kuu, Halimashauri kuu na Mkutano Mkuu ni dharau kwa Wajumbe na Wanachama wa CCM. Kwa mani yangu kinachofanyika hapa ni kikundi fulani kuleta agenda yao ili vikao halali vya chama ivipitishe. On top of that hata hayo mabadiliko hawajaambiwa ili wajiandae mpaka wakati wa Mkutano. Huko ni kuviziwa. Hii siyo sawa hata kama ni jambo zuri. Wajumbe wana haki yakujadili kwa uwazi.
Mtu isipomfaa Akili yake, utamdhuru Ujinga wake ~ Mulin wa Idodombi, Uyui 1872CCM kwa mtindo huu ni kuzalisha udikiteita ndani ya chama.
Kubadili katiba ndani ya saa 24 kwa ajili ya matakwa ya mtu mmoja kunaleta maswali mengi sana