Hii mbona tangu October 29Habari za muda huu waungwana!
Katika Hali ya kustaajabisha, wakati wa pita pita zangu katika kata yangu nimekuta BENDERA ZA ccm ambazo tumezoea kuziona zikipepea katika nyumba za mabalozi/wajumbe wa ccm zikiwa zimeshushwa, wengine wamefika hatuna ya kuzifanya tambara za kudekia View attachment 3499767
Kuna diwani moja la fisiemu tarehe 30 alikuwa anapita nyumba kwa nyumba mstimu kwa mstimu kubandua vipeperushi vya matangazo vyenye picha yake.Hujaona hata hawashangilii wamejificha ndani
hawataishi kwa amaniKuna diwani moja la fisiemu tarehe 30 alikuwa anapita nyumba kwa nyumba mstimu kwa mstimu kubandua vipeperushi vya matangazo vyenye picha yake.
Anabandua yeye na familia yake wanaogopa balaa.
Waziache kwani hawajipendi?Habari za muda huu waungwana!
Katika Hali ya kustaajabisha, wakati wa pita pita zangu katika kata yangu nimekuta BENDERA ZA ccm ambazo tumezoea kuziona zikipepea katika nyumba za mabalozi/wajumbe wa ccm zikiwa zimeshushwa, wengine wamefika hatuna ya kuzifanya tambara za kudekia
Wewe ni mtoto wa Clemence Mwandambo?Huku mtaani ukionekana na nembo ya CCM unapigwa Mawe
Sio bendera tuu hata zile baiskel sizioni tena wamepandisha darini😆Habari za muda huu waungwana!