Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Muda mchache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wajumbe wa mkutano huo wamepaza sauti ya kuhitaji posho zao kabla ya mchakato huo.
Hali hiyo inajiri muda mchache baada ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwasili kwenye viunga vya Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam kunapofanyikia mkutano mkuu wa uchaguzi wa Bawacha.
Soma: Mjumbe wa mkutano mkuu BAVICHA alilia posho ya kujikimu, 'tuliambiwa tutalipwa ila hadi sasa bado, kwa hali hii tunaweza kuepuka rushwa?'
Tukio hilo limetokea leo Alhamisi Januari 16, 2025 wakati wajumbe hao wakiwa ndani ya ukumbi, kila mara wanapopewa maelekezo na mshereheshaji, Devotha Minja kupunga mkono na kupiga vigelegele walipaza sauti wakidai posho...posho..
Pia, Soma;