Wajumbe ni wajuba walio changamka

MEKADDISHKEM

Senior Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
148
Reaction score
144
Wote tumeshuhudia katika mchakato huu wa kura za maoni wajumbe wakifanya Yao
Wamekula vichwa mwendo wa spana tu
Itoshe kusema wajumbe ni wajuba walio changamkaView attachment 1516983
 
ahahah wameunga mkono juhudi hamna kukata tena
 
Na watumishi waliotia nia watafute namna ya kusurvive mwezi huu.
 
Hao wajumbe sio wajinga kama stive nyerere na mwijaku wanavyosema.

Hao majamaa wamepiga kura kwa watoa hela,tupo nao mtaani hata jana wamepiga kura za madiwani,inshort wakati huu wa uchaguzi wanakula bata vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…