Wajumbe Nipokeeni

Tilap

Member
Joined
Dec 13, 2020
Posts
16
Reaction score
16
Mungu ni mwema leo rasmi nimekuwa mmoja wa familia kubwa ya Jamii forum.. Nimevutiwa na Mada na fursa mbalimbali ndani ya jukwaa huru.. Hongereni sana watangulizi mchango wenu nimkubwa sana.. Kama kijana nitarajia mengi mazuri kutoka kwenu Wajumbe.. NAOMBENI MNIPOKEE
 
Karibu sana mkuu,lakni usirudie tena kutuita wajumbe.
Enjoy jf
 
Pia wapo ma Dr wa ulozi na uponyaji Mshana Jr , kuna wanafiki kama BAK, kuna wengine waongowaongo ka Sky Eclat etc
 
hahahhahha mkuu ,naona unamjaza sumu kijana wetuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si unajua kambi yetu ya CCM sasa tunatamba mitaani ni muhimu kutia sumu wapinzani wasipate nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…