informer 06
Member
- May 11, 2024
- 66
- 49
Wajumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa wanaotokana na Vyuo na Vyuo Vikuu Nchini Tanzania leo Wametembelea Bodi ya Mikopo Ya Elimu ya Juu na Kukutana Na Mkurugenzi DR Bill Kiwia.
Imeelezwa kuwa lengo la Ziara hiyo ilikuwa ni kukutana na Wataalamu wa bodi na kuona ni namna Gani Wamejipanga kuhakikisha Vijana wanaoenda Vyuoni wanapata Mikopo kwa Wakati Bila Usumbufu
Mkurugenzi DR Bill Kiwia ameahidi kuendelea Kutoa Ushirikiano kwa Wajumbe wa Baraza Kuu Taifa na Kuwahakikishia kuwa dhima ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kutaka Wanafunzi wote wenye sifa ya kupata Mkopo waipate kwa wakati.
Pia Mkurugenzi Amewashukuru Wajumbe wa Baraza Kuu Taifa Kwa kutembelea Ofisi hiyo iliyoelezwa kugusa maslahi ya Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Moja kwa moja
Pia soma KERO - Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa