Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Kwa maisha magumu tulionayo watanzania tulio wengi , ukosefu wa ajira kwa vijana ,mishahara midogo kwa watu muhimu kama madaktari na walimu ,ukosefu wa huduma muhimu lakini ndani ya nchi hihi hihi bado kuna watu wanapomea Tsh 300000 kwa siku na serikali imebariki kabisa swala hilo .. tena wapokeaji ndio hao hao wanajiita wazalendo na wenye uchungu na hii nchi .. kwelii ni sahihi ..
Mbona wapo wengi tu ambao wangeweza kuingia kwnye bunge la katiba hata bila malipo ..wakiamini wanachokifanya ni kwa manufaa ya nchi yao .
Kweli nazidi kuamini kamati ipo kwa maswahi na si kwa kupanbania katiba mpya .
Kwa kujali wajumbe mngekataa posho hizzo kama mfano aliouonyesha ZZK .