Wajumbe wa bunge la katiba tuachieni hizi hela zetu

Wajumbe wa bunge la katiba tuachieni hizi hela zetu

ASCUDA T

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
120
Reaction score
33
tsh 300000 times 70 days times 600 members ni tsh billion 12.6 na ushee lakini kama watalipwa tsh 500000 kutakuwa na ongezeko la 8.4 tsh billion. embu wajumbe wa bunge la katika kuweni na huruma 8.4 billion zitasahidia taifa kwa majukumu mengine. bac zipelekwe hata kulipa madeni ya walimu. Au Mnasemaje Wachumia Tumbo Eeee Au Kama Vp Anaeona Ndogo Apite Hv
 
Dalili ya mvua ni mawingu, wabunge wanatuwakilisha katika Bunge la katiba wameonyesha dhaili kwamba hawakuafaa kutuwakisha sisi wanyonge kwa kudai posho kubwa kiasi hicho.
Hii ni ishala kwamba hata katiba watakayo ipitisha ni ile itakayojali sana maslahi yao tu. Kama waasisi wa Taifa hili wangetanguliza maslahi yao kama hivi basi hata tulipo tunge kuwa hatuna hata matarajio ya kufika hata miaka 30 inayokuja.
Mungu tunaomba uturudishie uzao kama uliowaleta waasisi wa Tanzania
 
Back
Top Bottom