Dalili ya mvua ni mawingu, wabunge wanatuwakilisha katika Bunge la katiba wameonyesha dhaili kwamba hawakuafaa kutuwakisha sisi wanyonge kwa kudai posho kubwa kiasi hicho.
Hii ni ishala kwamba hata katiba watakayo ipitisha ni ile itakayojali sana maslahi yao tu. Kama waasisi wa Taifa hili wangetanguliza maslahi yao kama hivi basi hata tulipo tunge kuwa hatuna hata matarajio ya kufika hata miaka 30 inayokuja.
Mungu tunaomba uturudishie uzao kama uliowaleta waasisi wa Tanzania