Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,035
- 1,005
Kwa hali ilivyo sasa kwenye bunge maalumu la katiba kura ya wazi inayopigiwa chapuo na ccm ina hila ndani yake na nimkakati wa kuhakikisha maslahi ya ccm yanapita. Hivyo kura ya wazi ni kuhakikisha wajumbe wa ccm wanaunga hoja za ccm kwa lazima hata kama hutaki. Kwani ukipinga hoja zao watakuona na kukushughulikia ipasavyo. Hivyo kwa hali ilivyo sasa nitamshangaa mjumbe mwenye akili zake timamu akibaki hapo kama upigaji kura utakuwa wa wazi. Ni lini ccm wameanza uwazi?