Wajumbe wa CHADEMA tafadhilini tunataka mchague Mtanzania sio diaspora wiki yuko Tanzania miezi 6 yuko Ubelgiji kura apewe Mbowe

Kwani Mbowe siyo diaspora? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Chadema mko gizani Wengi 🐼
 
bibi kizee mbona unaongea kama umetoroka kwenye mahandaki ya Gaza na lebanoni? rudi kapambane na myahudi akuvunje kiuno hicho, hizi siasa huziwezi, unaongea kama wewe mwenyewe ndio mwenye usonji sasa.
 
Acha matumizi mabaya ya jina la Yesu. Usirudie tena. Wewe hujui kuwa huyo mtu hata Mungu mwenyewe amemkataa? Mungu hana ushirika na walevi na watoao rushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…