Pre GE2025 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wanasema wapinzani wameyakanyaga, lazima wamalizane nao Uchaguzi wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Kumekucha Dodoma, Wajumbe haooo wanaenda kujipanga kuwamaliza Wapinzani (vibaraka) wanaogombea ugali huko kwenye chama Cha Mabeberu.

Wajumbe wanasema Wapinzani wameyatimba lazima Wamalizane Nao Uchaguzi Mkuu 2025 ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DEsJE20zof7/?igsh=MXM5YjFreWQ2bHVrOQ==

Uchaguzi utakuwa huru na wa haki?

Wagombea wa upinzani hawataenguliwa?

Fomu za wagombea upinzani zitapokelewa na wakurgenezi wanaosimamia uchaguzi?

Mawakala wa upinzani katika vituo vya kupiga kura hawatafanyiwa figisu?
 
Msipofuata utaratibu mtaenguliwa kama kawa.

Uchaguzi ni huru na Haki siku zote
 
Kumekucha Dodoma,Wajumbe haooo wanaenda kujipanga kuwamaliza Wapinzani (vibaraka) wanaogombea ugali huko kwenye chama Cha Mabeberu.

Wajumbe wanasema Wapinzani wameyatimba lazima Wamalizane Nao Uchaguzi Mkuu 2025 ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 3196575
Kwamba watatumia Polisi kuwashughulikia kama wanavyofanyaga ?
 
kama mna ushahidi wanaiba kura mbona hamuendi mahakamani? mbona mnaendelea kushiriki uchaguzi?...ccm haina haja ya kuiba kura bali inakubalika
Ndiyo maana tunamuhutaji tundu lissu tumechoka siasa za kubembelezana, tunahitaji kiongozi ambaye atailazimisha ccm kufata katiba na haki na siyo kwenda mahakamani kudai,

Wasikilize washika dau hapo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

View: https://youtu.be/FYiaufRgxvw
 
mkileta uvunjifu wa amani mtakiona!!

Amani ikivunjika unahisi utakuwa salama?????

Na wananchi wakiamua unahisi Kuna jeshi la kuzuia?????

Kitu pekee mafisadi na wezi wa ccm wabadilike, la sivyo nchi inaenda kuharibika
 
Ndiyo maana tunamuhutaji tundu lissu tumechoka siasa za kubembelezana, tunahitaji kiongozi ambaye atailazimisha ccm kufata katiba na haki na siyo kwenda mahakamani kudai,

Wasikilize washika dau hapo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

View: https://youtu.be/FYiaufRgxvw

Lisu ndio atafanya nini Sasa? Mtashughulikiwa vya kutosha ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Karibuni tuone kama kibaraka Lisu atawasaidia.
 
Amani ikivunjika unahisi utakuwa salama?????

Na wananchi wakiamua unahisi Kuna jeshi la kuzuia?????

Kitu pekee mafisadi na wezi wa ccm wabadilike, la sivyo nchi inaenda kuharibika
usiseme wananchi bali sema chadema...jaribuni muone
 
Back
Top Bottom