ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Msipofuata utaratibu mtaenguliwa kama kawa.Uchaguzi utakuwa huru na wa haki?
Wagombea wa upinzani hawataenguliwa?
Fomu za wagombea upinzani zitapokelewa na wakurgenezi wanaosimamia uchaguzi?
Mawakala wa upinzani katika vituo vya kupiga kura hawatafanyiwa figisu?
Jinsi ya kuiba na kuifanya tz kuwa masikini kwa muda wa miaka 62vyama vya upinzani wajifunze toka ccm
Na nyie ibeni,mbona mnagombania rushwa huko Hadi mnafukuzana? ππJinsi ya kuiba na kuifanya tz kuwa masikini kwa muda wa miaka 62
kama mna ushahidi wanaiba kura mbona hamuendi mahakamani? mbona mnaendelea kushiriki uchaguzi?...ccm haina haja ya kuiba kura bali inakubalikaJinsi ya kuiba na kuifanya tz kuwa masikini kwa muda wa miaka 62
Kwamba watatumia Polisi kuwashughulikia kama wanavyofanyaga ?Kumekucha Dodoma,Wajumbe haooo wanaenda kujipanga kuwamaliza Wapinzani (vibaraka) wanaogombea ugali huko kwenye chama Cha Mabeberu.
Wajumbe wanasema Wapinzani wameyatimba lazima Wamalizane Nao Uchaguzi Mkuu 2025 πππππ
View attachment 3196575
Watatumia sanduku la kuraKwamba watatumia Polisi kuwashughulikia kama wanavyofanyaga ?
wewe ni mwanachama?Mnakwenda kumchagua nani?
Wagombea WA CCM ni akina nani?
Subirieni mpukutishwe kwenye siasa kwanzaMnakwenda kumchagua nani?
Wagombea WA CCM ni akina nani?
Polisi hawatumiki tena ?Watatumia sanduku la kura
Watatumika kulinda usalama kama.kawaida YaoPolisi hawatumiki tena ?
Ndiyo maana tunamuhutaji tundu lissu tumechoka siasa za kubembelezana, tunahitaji kiongozi ambaye atailazimisha ccm kufata katiba na haki na siyo kwenda mahakamani kudai,kama mna ushahidi wanaiba kura mbona hamuendi mahakamani? mbona mnaendelea kushiriki uchaguzi?...ccm haina haja ya kuiba kura bali inakubalika
Ndiyo maana tunamuhutaji tundu lissu tumechoka siasa za kubembelezana, tunahitaji kiongozi ambaye atailazimisha ccm kufata katiba na haki na siyo kwenda mahakamani kudai,
Wasikilize washika dau hapo πππππ
Amani ikivunjika unahisi utakuwa salama?????mkileta uvunjifu wa amani mtakiona!!
Lisu ndio atafanya nini Sasa? Mtashughulikiwa vya kutosha ππNdiyo maana tunamuhutaji tundu lissu tumechoka siasa za kubembelezana, tunahitaji kiongozi ambaye atailazimisha ccm kufata katiba na haki na siyo kwenda mahakamani kudai,
Wasikilize washika dau hapo πππππ
View: https://youtu.be/FYiaufRgxvw
usiseme wananchi bali sema chadema...jaribuni muoneAmani ikivunjika unahisi utakuwa salama?????
Na wananchi wakiamua unahisi Kuna jeshi la kuzuia?????
Kitu pekee mafisadi na wezi wa ccm wabadilike, la sivyo nchi inaenda kuharibika