Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wanaotarajiwa kumchagua Mwenyekiti wa chama Taifa, ni wenye sifa gani au ni kina nani hasa?

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wanaotarajiwa kumchagua Mwenyekiti wa chama Taifa, ni wenye sifa gani au ni kina nani hasa?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Habari wadau!

Ni vizuri watu wakaelewa ni kina nani hasa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA wana sifa za kushiriki kwenye huo mkutano wenye wajumbe wapatao 1,200(nilivyosikia).

Binafsi nafahamu baadhi ya wajumbe ni kama vile wenyeviti na makatibu ngazi ya wilaya, mkoa na kanda pamoja na Viongozi wa BAVICHA, BAWACHA,n.k.

Mwenye list kamali atuwekee hapa.
 
IMG-20250116-WA0060.jpg
 
Back
Top Bottom