Huko Zanzibar wao washajizoelea huo ni utaratibu wao ni full nepotism kwenye siasa na utumishi pande zile.
Ata mabalozi wa Jamhuri wenye asili ya Zanzibar wengi ni familia za vigogo wao, bi tozo ndio maana anaona kawaida kajaza ndugu na jamaa zake kibao na upande wa bara kutoka Zanzibar.
Sasa hivi hizo tabia anazileta na CCM bara sio kwamba azikuwepo, ila bi-tozo anataka zizoeleke iwe kawaida kama ilivyo kwa Zanzibar kujazana bila ya aibu.
Na unaambiwa ufisadi unaofanywa na hakina Mwinyi huko ni balaa, Abdul hafikii.