Jina tu,Nimeskia jina la wajumbe wa kanda ya Victoria moja ya majina niliyoskia ni Pascal Mayalla je nae ni mjumbe wa chadema kanda ya Victoria au ni jina tu sio huyu tuliekuwa nae humu mzee wa physical power
Sip yeyeNimeskia jina la wajumbe wa kanda ya Victoria moja ya majina niliyoskia ni Pascal Mayalla je nae ni mjumbe wa chadema kanda ya Victoria au ni jina tu sio huyu tuliekuwa nae humu mzee wa physical power
Hujamalizia idadi ya kura alizozipata..😅😅Jina tu,
Pascal Mayalla wa humu ni "Advocate " na mtangazaji nguli.
Aligombea ubunge jimbo la kawe 2020 kupitia ccm.