mbuyake
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 293
- 510
kuna ushauri nimeombwa nikamjibu navyojua pia nataka kuskia kutoka kwenu pia.ipo hivi,,,kuna dada mmoja siku ya tarehe moja decemba alikutana na mpenzi wake kimwili bila kinga ,masaa 73 baadae akameza p2 akihofia mimba maana siku zilimchanganya na p2 alimeza baada ya kuambiwa inaweza kufanya kazi wakati mwingine hadi 96hrs,tarh 12 akapima upt ikawa negative ,tarhe 20 decemba tena ikawa negative,je aliniuliza kuna haja ya kupima tena kwa mara nyingine? anaonekana ana hofu sana kuhusu kupata ujauzito.