Wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya haya maneno anisaidie..

Wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya haya maneno anisaidie..

Black bear

Member
Joined
Jan 21, 2022
Posts
35
Reaction score
49
Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati

Visawe ni maneno yenye maana sawa

Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni
 
Neno 'nyau' sidhani kama limesanifishwa, kwahiyo haliwezi tumika

Neno 'dawati' lina maana nyingi kwahiyo neno 'kiti' halifai kwa kila muktadha
 
Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati

Visawe ni maneno yenye maana sawa

Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni
Hivi kisawe cha Ari ndio Nia au Shauku
 
Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati

Visawe ni maneno yenye maana sawa

Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni
Hata hiyo kisawe sijui ni nini?
 
Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati

Visawe ni maneno yenye maana sawa

Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni
Paka - nyau
 
Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati

Visawe ni maneno yenye maana sawa

Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni

  • Paka: Kipusi, Mridii, Kitinda, Kinyau
  • Dawati: Meza, Kimeza
 
Back
Top Bottom