Black bear
Member
- Jan 21, 2022
- 35
- 49
Paka - NyauWasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati
Visawe ni maneno yenye maana sawa
Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni
Kwa hiyo ukisikia nyau unajua anaongelewa punda, eti ehh?Neno 'nyau' sidhani kama limesanifishwa, kwahiyo haliwezi tumika
Neno 'dawati' lina maana nyingi kwahiyo neno 'kiti' halifai kwa kila muktadha
Paka- pusiPaka-Nyau
Nyau limesanifishwa na ndiyo kisawe cha neno paka, kisawe kingine cha neno paka ni pusiNeno 'nyau' sidhani kama limesanifishwa, kwahiyo haliwezi tumika
Neno 'dawati' lina maana nyingi kwahiyo neno 'kiti' halifai kwa kila muktadha
Hivi kisawe cha Ari ndio Nia au ShaukuWasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati
Visawe ni maneno yenye maana sawa
Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni
Hata hiyo kisawe sijui ni nini?Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati
Visawe ni maneno yenye maana sawa
Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni
Paka - nyauWasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati
Visawe ni maneno yenye maana sawa
Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni
Pusi sio Kiingereza?Nyau limesanifishwa na ndiyo kisawe cha neno paka, kisawe kingine cha neno paka ni pusi
Ni kiswahili kakaPusi sio Kiingereza?
Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati
Visawe ni maneno yenye maana sawa
Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni