Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sisi wafanyabiashara ni hatua ambapo mapato na matumizi yanakuwa sawa, yaani hakuna faida wala hasara jumuishi.Mtu anaposema "to break even" kiswahili chake ni kipi?au ni sawa na kusemaje kwa kiswahili chetu.
"To break even" Ni hatua ya biashara ambayo gharama na mapato zimekua sawa na hakuna faida wala hasara ambayo imepatikana kwa wakati huo. Ama pia ni kitendo cha matokeo ya kifedha yasiyoonyesha faida wala kupoteza kwenye biashara.Mtu anaposema "to break even" kiswahili chake ni kipi?au ni sawa na kusemaje kwa kiswahili chetu.
Ok asante mkuu naanza kupata pichaNi pale ambapo umefungua biashara labda kwa mtaji wa milion tano na gharama nyingine ikafikia milion 10 sasa baada ya miaka kadhaa ukarudisha ile hela uliyowekeza, yani pesa/gharama ya uwekezaji inakua sawa na faida uliyoipata, ndio brake even
hii sio maana halisi ya break even.Ni pale ambapo umefungua biashara labda kwa mtaji wa milion tano na gharama nyingine ikafikia milion 10 sasa baada ya miaka kadhaa ukarudisha ile hela uliyowekeza, yani pesa/gharama ya uwekezaji inakua sawa na faida uliyoipata, ndio brake even