kukumsela JF-Expert Member Joined Oct 13, 2018 Posts 725 Reaction score 917 Jan 26, 2020 #1 Naomba msaada wa hiyo kauli nimeambiwa na rafiki yangu Leo " Gharama za kuelimika ni ndogo sana kuliko gharama za kuhifadhi ujinga kichwani." Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msaada wa hiyo kauli nimeambiwa na rafiki yangu Leo " Gharama za kuelimika ni ndogo sana kuliko gharama za kuhifadhi ujinga kichwani." Sent using Jamii Forums mobile app
Kamwene kamwene JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 1,159 Reaction score 2,601 Jan 26, 2020 #2 Kuwekeza kwenye ujinga kuna hasara kubwa kuliko Kuwekeza kwenye Elimu.