Wajuzi mniambie hii kitu inahusika na nini kwenye subwoofer

Wajuzi mniambie hii kitu inahusika na nini kwenye subwoofer

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Bwana Awe nanyi, Awe pia nami

Wakuu swali langu ni subwoofer kwa chini kuna sehemu za volume na chini kabisa kuna MIC 1 MIC 2 Sasa zina husika ni nini pale
 
Vipi mkuu, pinetech subwoofer ni nzuri au magumashi, nina mpango wa kununua ila sina uhakika kama zinadumu

Subwoofer ni kutokana na mahitaji yako, kama unataka kwa ajili ya matumizi ya ndani kwako tu au matumizi ya bar?
 
Back
Top Bottom