Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,222
- 1,425
Asante kwa ushauri mkuu,,,ninaona watu wengi wakishauri hivyo.. ila nilitaka kujua, hizi za kuanzia 2010 onwards zina shida gani?? mbona cheap sana mitandaoni lakini bado ni mpya zaidi?4D33 is the best ingine to Canter,very strong,durable and fuel economy!pia ina chasis ngumu kwa kazi zenye shuruba.Na hiyo mil 28 ni cheap!iliyo tiper na spring juu inakuwa na bei zaidi. Jibane nunua hiyo,u wont regret. Kila la heri
Hayo niliyoyaeleza hapo mwanzo,kinyume chake sasa.. 😀Asante kwa ushauri mkuu,,,ninaona watu wengi wakishauri hivyo.. ila nilitaka kujua, hizi za kuanzia 2010 onwards zina shida gani?? mbona cheap sana mitandaoni lakini bado ni mpya zaidi?
hahaha.. asante sana mkuu.. nitajitahidi kuzingatia ushauriHayo niliyoyaeleza hapo mwanzo,kinyume chake sasa.. 😀
Magari ya kisasa mengi kiujumla yako "soft".
Mkuu, tatizo nililonalo, bajet yangu haifiki... nachoka,, je ungenishauri nini kwa bajet ya around 20 m mkuu?? vipi kuhusu hizi dyana au liteace??? mizigo nitakayokua ninabeba haizidi tani mbili... na barabara sio mbaya sana.. je kwa bajet hiyo unanishaurije mkuu??4D33 is the best ingine to Canter,very strong,durable and fuel economy!pia ina chasis ngumu kwa kazi zenye shuruba.Na hiyo mil 28 ni cheap!iliyo tiper na spring juu inakuwa na bei zaidi. Jibane nunua hiyo,u wont regret. Kila la heri
Hicho ki dyna cha kijani ni kigumu mno ila kina changamoto ya upatikanaji wa spare so kikizingua Unaweza kuzunguka siku mbili tatu kupata spare ila uzuri ukipata spare ni genuineMkuu, tatizo nililonalo, bajet yangu haifiki... nachoka,, je ungenishauri nini kwa bajet ya around 20 m mkuu?? vipi kuhusu hizi dyana au liteace??? mizigo nitakayokua ninabeba haizidi tani mbili... na barabara sio mbaya sana.. je kwa bajet hiyo unanishaurije mkuu??
Asante kwa ushauri mkuuHicho ki dyna cha kijani ni kigumu mno ila kina changamoto ya upatikanaji wa spare so kikizingua Unaweza kuzunguka siku mbili tatu kupata spare ila uzuri ukipata spare ni genuine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba nijuzwe ya spring juu nitaitambuaje, nataka nichukue iniletee hesabu jooo4D33 is the best ingine to Canter,very strong,durable and fuel economy!pia ina chasis ngumu kwa kazi zenye shuruba.Na hiyo mil 28 ni cheap!iliyo tiper na spring juu inakuwa na bei zaidi. Jibane nunua hiyo,u wont regret. Kila la heri
Pole, ni ipi ambayo ni chaguo lako haswa?Mkuu, tatizo nililonalo, bajet yangu haifiki... nachoka,, je ungenishauri nini kwa bajet ya around 20 m mkuu?? vipi kuhusu hizi dyana au liteace??? mizigo nitakayokua ninabeba haizidi tani mbili... na barabara sio mbaya sana.. je kwa bajet hiyo unanishaurije mkuu??