Wajuzi: Nauli Ya Kwenda Brazil

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,818
Kuna Jamaa Yangu Ana ndoto Ya Kwenda Brazil Anaomba Kufahamu Nauli Ya Ndege Kwenda Na Kurudi. Gharama Za Visa Zipoje Na Gharama Za Vyumba Inakuwaje,
Nadhani Kuna Watanzania Wapo Humu Walisha Fika Huko
 
toa kwanza hyo mirangi ndio utapata jibu.... watu wakifungua thread macho yanauma wanaondoka hapa imebidi nivai miwani ya bibi ili tu niandike hivi
 
Ngoja nimuulize neymar Jr alafu nitaleta feedbacks
 
Nadhani kusudio lako ni kutuonyesha unajua "kubold" maandishi@ Rangi zinaumiza macho#
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
matumizi ya rangi F hasa iyo ya njano inauwa macho
 
Kuna Jamaa Yangu Ana ndoto Ya Kwenda Brazil Anaomba Kufahamu Nauli Ya Ndege Kwenda Na Kurudi. Gharama Za Visa Zipoje Na Gharama Za Vyumba Inakuwaje,
Nadhani Kuna Watanzania Wapo Humu Walisha Fika Huko
Sorry mkuu toa haya marangi weka black tyuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…