Wajuzi nishaurini, nataka kujiunga na Jeshi la Magereza

Kyenyabasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2023
Posts
247
Reaction score
715
Wakuu habari za muda?

Nataka kujiunga na Jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi nitakayopata nikiwa Askari Magereza. Baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo;

- Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi.

- Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi.

- Posho ya vinywaji 100,000 kwa mwezi.

- Umeme na maji bure na haki za kujiendeleza kimasomo.

Wakuu naomba kama mnajua lolote kuhusu hayo niliosema mniongoze, pengine naweza kuwa nimedanganywa nikajikuta najuta. Ikumbukwe mimi ni form 4 leaver, je, kipato hicho kinaweza kufaa katika maisha yetu ya Kitanzania?
 
Wakuu habari za muda!? Nataka kujiunga na jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi ntakayopata nikiwa Askari Magereza,,baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo::

Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi.

Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi .

Posho ya vinywaji 100,000 kwa mwezi

Uméme na maji bure na haki za kujiendeleza kimasomo.

Wakuu naomba kama mnajua lolote kuhusu hayo nilosema mniongoze pengine naweza kuwa nimedanganywa nikajikuta najuta. Ikumbukwe ni form 4 leaver, je, kipato hicho kinaweza kufaa katika maisha yetu ya kitanzania!?
Mbona umeangalia faida tu mkuu, hasara zake unazijua ??

Ukiachana na mshahara, nini kime kusukuma mpaka uende huko??
 
Hizo posho na mategemeo ya baadae ni ya kweli ila jiandae kuishi kama jambazi maana ukiishi na wafungwa automatically unatakiwa kuwa na ujanja kuliko majambazi wenyewe.
Ota mbekenga nka nontiniisa!?
 
Wakuu habari za muda!? Nataka kujiunga na jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi ntakayopata nikiwa Askari Magereza,,baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo::

Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi.

Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi .

Posho ya vinywaji 100,000 kwa mwezi

Uméme na maji bure na haki za kujiendeleza kimasomo.

Wakuu naomba kama mnajua lolote kuhusu hayo nilosema mniongoze pengine naweza kuwa nimedanganywa nikajikuta najuta. Ikumbukwe ni form 4 leaver, je, kipato hicho kinaweza kufaa katika maisha yetu ya kitanzania!?
NENDA ila usihonge kupata nafasi hiyo
 
Wakuu habari za muda?

Nataka kujiunga na Jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi nitakayopata nikiwa Askari Magereza. Baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo;

- Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi.

- Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi.

- Posho ya vinywaji 100,000 kwa mwezi.

- Umeme na maji bure na haki za kujiendeleza kimasomo.

Wakuu naomba kama mnajua lolote kuhusu hayo niliosema mniongoze, pengine naweza kuwa nimedanganywa nikajikuta najuta. Ikumbukwe mimi ni form 4 leaver, je, kipato hicho kinaweza kufaa katika maisha yetu ya Kitanzania?
Sio rahisi kupata hizo nafasi we jidanganye
 
Back
Top Bottom