Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 247
- 715
Mbona umeangalia faida tu mkuu, hasara zake unazijua ??Wakuu habari za muda!? Nataka kujiunga na jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi ntakayopata nikiwa Askari Magereza,,baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo::
Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi.
Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi .
Posho ya vinywaji 100,000 kwa mwezi
Uméme na maji bure na haki za kujiendeleza kimasomo.
Wakuu naomba kama mnajua lolote kuhusu hayo nilosema mniongoze pengine naweza kuwa nimedanganywa nikajikuta najuta. Ikumbukwe ni form 4 leaver, je, kipato hicho kinaweza kufaa katika maisha yetu ya kitanzania!?
Kwanini mkuuJiandae kufuga bata🦆
Natafuta pumziko tu mkuu,nimesota kwa muda sasa mtaani.Mbona umeangalia faida tu mkuu, hasara zake unazijua ??
Ukiachana na mshahara, nini kime kusukuma mpaka uende huko??
Ota mbekenga nka nontiniisa!?Hizo posho na mategemeo ya baadae ni ya kweli ila jiandae kuishi kama jambazi maana ukiishi na wafungwa automatically unatakiwa kuwa na ujanja kuliko majambazi wenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwhy unaenda kupumzikua kweny jeshi la magereza mkuu??Natafuta pumziko tu mkuu,nimesota kwa muda sasa mtaani.
NENDA ila usihonge kupata nafasi hiyoWakuu habari za muda!? Nataka kujiunga na jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi ntakayopata nikiwa Askari Magereza,,baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo::
Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi.
Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi .
Posho ya vinywaji 100,000 kwa mwezi
Uméme na maji bure na haki za kujiendeleza kimasomo.
Wakuu naomba kama mnajua lolote kuhusu hayo nilosema mniongoze pengine naweza kuwa nimedanganywa nikajikuta najuta. Ikumbukwe ni form 4 leaver, je, kipato hicho kinaweza kufaa katika maisha yetu ya kitanzania!?
Hapana mkuu nitafanya kazi kwa bidii sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwhy unaenda kupumzikua kweny jeshi la magereza mkuu??
Kwanini unatoa angalizo mkuu!!?NENDA ila usihonge kupata nafasi hiyo
Otatina kwata amashaijaOta mbekenga nka nontiniisa!?
Kwasababu "RUSHWA NI ADUI WA HAKI"Kwanini unatoa angalizo mkuu!!?
Sio rahisi kupata hizo nafasi we jidanganyeWakuu habari za muda?
Nataka kujiunga na Jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi nitakayopata nikiwa Askari Magereza. Baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo;
- Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi.
- Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi.
- Posho ya vinywaji 100,000 kwa mwezi.
- Umeme na maji bure na haki za kujiendeleza kimasomo.
Wakuu naomba kama mnajua lolote kuhusu hayo niliosema mniongoze, pengine naweza kuwa nimedanganywa nikajikuta najuta. Ikumbukwe mimi ni form 4 leaver, je, kipato hicho kinaweza kufaa katika maisha yetu ya Kitanzania?
naKwasababu "RUSHWA NI ADUI WA HAKI"
Unanikatisha tamaa mkuu nipe mbinu za kufanikiwa kupata hiyo nafasiSio rahisi kupata hizo nafasi we jidanganye