Lugoda lwa chuma
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 202
- 379
Habari zenu Wana jamvi. Moja Kwa moja niende kwenye mada husika...Ukisoma biblia kuna muda yesu aliwauliza wanafunzi wake kuwa watu wanamwita nani, kuna walio mjibu kuwa watu wanasema wewe ni Elia, kuna wengine wakajibu kuwa watu wanamwita mwalimu e.t.c, Kisha akawauliza tena "Ninyi mwasema mimi ni Nani?? Petrol akajibu wewe ni mwana wa Mungu.
MASWALI;
1. Yesu alikua na uwezo Wa kimungu na miujiza mikubwa sana, Kwanini aliwauliza wanafunzi kua yeye ni Nani angali anao uwezo Wa kujua hata Kwa kuwasoma akili kimiujiza kama alivo tambua kua Eskarioti Yuda atamsaliti?
2. Yesu aliwauliza wanafunzi wote mara ya pili kuwa na wao wanamchukuliaje ukiachana na wanachi, Je Kwanini biblia imetoa jibu la Petro pekee wakati kuna wengine kumi na wao walikua na mitazamo yao juu yake? Au majibu ya wale kumi na moja yalifutwa kwenye biblia?
Naomba kuwasilisha wakuu, karibuni Kwa majibu yenu.