wajuzi wa boxing naomba mnijibu

wajuzi wa boxing naomba mnijibu

kadovela

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Posts
471
Reaction score
679
katika pambano la anthony joshua na takam katika round ya pili takam alimpiga kwa kichwa puani joshua kiasi cha kuvuja sana damu, je hii sio foul ambayo joshua angestahili kupata ushindi endapo angeshindwa kuendelea na pambano?
 
Back
Top Bottom