kadovela JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 471 Reaction score 679 Oct 29, 2017 #1 katika pambano la anthony joshua na takam katika round ya pili takam alimpiga kwa kichwa puani joshua kiasi cha kuvuja sana damu, je hii sio foul ambayo joshua angestahili kupata ushindi endapo angeshindwa kuendelea na pambano?
katika pambano la anthony joshua na takam katika round ya pili takam alimpiga kwa kichwa puani joshua kiasi cha kuvuja sana damu, je hii sio foul ambayo joshua angestahili kupata ushindi endapo angeshindwa kuendelea na pambano?
Thelionden Senior Member Joined Apr 7, 2018 Posts 165 Reaction score 160 Apr 15, 2018 #2 foul hiyo bro
shirima Mathias JF-Expert Member Joined Feb 9, 2017 Posts 451 Reaction score 1,333 Apr 15, 2018 #3 Wangepigiana penalt