Wajuzi wa Kiswahili karibuni mnipe ufafanuzi katika hili

Wajuzi wa Kiswahili karibuni mnipe ufafanuzi katika hili

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
29,200
Reaction score
49,076
Sikuelewa TBC walichomaanisha hapa, mnisaidie.

20191128_072109.jpeg
 
Tume ya ushindani inaitwa Fair Competition Commission. Hii inahusika na kuregulate ushindani wa kibiashara nchini.

Hivyo hapo ingekuwa nafasi ya tume ya ushindani katika masuala ya ushindani wa haki (Fair competition)
 
FCC naifahamu vyema,nilitaka kujua je, haya maneno ya FAIR COMPETITION hayana kiswahili chake mkuu?
Tume ya ushindani inaitwa Fair Competition Commission. Hii inahusika na kuregulate ushindani wa kibiashara nchini.

Hivyo hapo ingekuwa nafasi ya tume ya ushindani katika masuala ya ushindani wa haki(Fair competition)
 
Back
Top Bottom