Tume ya ushindani inaitwa Fair Competition Commission. Hii inahusika na kuregulate ushindani wa kibiashara nchini.
Hivyo hapo ingekuwa nafasi ya tume ya ushindani katika masuala ya ushindani wa haki(Fair competition)
Kiswahili kinaweza leta tabu, mimi nimeandika ushindani wa hakiFCC naifahamu vyema,nilitaka kujua je, haya maneno ya FAIR COMPETITION hayana kiswahili chake mkuu?