Oltung'anyi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 284
- 196
Mkuu, mmoja wa watu wenye jina hili na anayelitamka Midle wakati linaandikwa Middle ni mtangazaji wa radio One/ ITV Farhia. Ukifuatilia wakati anasoma habari ITV, jina lake linaandikwa Middle lakini yeye analitamka Midle. Ninaona hapa kuna mchanganyiko wa lugha.Ungetaja hata mtu mmoja anaetumia hilo jina labda ningejaribu kujibu mkuu
Hakika mkuu, nami ninafahamu hivi. Ngoja tuwasikilize na wadau wengine.MIDDLE si kiswahili.
SawaMkuu, mmoja wa watu wenye jina hili na anayelitamka Midle wakati linaandikwa Middle ni mtangazaji wa radio One/ ITV Farhia. Ukifuatilia wakati anasoma habari ITV, jina lake linaandikwa Middle lakini yeye analitamka Midle. Ninaona hapa kuna mchanganyiko wa lugha.
Namba linavyoandikwa na namna linavyotamkwa ndipo palipo na shida. Linaandikwa kiingereza, linatamkwa kwa kiswahili. Namna linavyoandikwa(Middle) ilitarajiwa lisomeke Mido, ila linatamkwa Midle.Sawa
Hilo jina linatamkwa midle lakini kwa kuikaza hiyo d iwe kama dd ndio maana anaiandika middle
Hapana usilisome kiingereza ni jina la kisomali middle (midd le) na sio midoNamba linavyoandikwa na namna linavyotamkwa ndipo palipo na shida. Linaandikwa kiingereza, linatamkwa kwa kiswahili. Namna linavyoandikwa(Middle) ilitarajiwa lisomeke Mido, ila linatamkwa Midle.
Kweli kabisa na ni ngumu kuielezea kwa kuiandika.Sasa mtu ataikaziaje DD kwenye 'Middle'?.. Sawa na kutamka AIREEN, AIRYN na IRENE utaweza vipi kuzitofautisha kwenye matamshi zaidi ya kwenye kuandika!.
Tofauti zingine zibaki kwenye kuandika lakini kwenye matamshi ni kazi kuzionyesha!.
Okey, nimeelewa mkuu. Kilichokuws kinanitatiza bila shaka ni origin ya jina hili.Hapana usilisome kiingereza ni jina la kisomali middle (midd le) na sio mido
Asante piaOkey, nimeelewa mkuu. Kilichokuws kinanitatiza bila shaka ni origin ya jina hili.
Yeye mwenyewe huwa analitamka kama lilivyoandikwa, yaani ukimsikiliza anavyolitamka ni MIDDLE, yaani ulisome kama lilivyoandikwa. Ndo Kiswahili chenyeweMkuu, mmoja wa watu wenye jina hili na anayelitamka Midle wakati linaandikwa Middle ni mtangazaji wa radio One/ ITV Farhia. Ukifuatilia wakati anasoma habari ITV, jina lake linaandikwa Middle lakini yeye analitamka Midle. Ninaona hapa kuna mchanganyiko wa lugha.
Ila, hakuna jina katika Kiswahili linaandikwa hivi. Ila, kama ni la kiarabu, inaeleweka. Hakuna shida.Yeye mwenyewe huwa analitamka kama lilivyoandikwa, yaani ukimsikiliza anavyolitamka ni MIDDLE, yaani ulisome kama lilivyoandikwa. Ndo Kiswahili chenyewe