Wajuzi wa Lugha njooni mnisaidie maana ya nahau hii.

Wajuzi wa Lugha njooni mnisaidie maana ya nahau hii.

Tia chumvi yaani kuongezea sifa isiyokuwepo. Mfano, Mtu mwembamba kuitwa BONGE, mtu mweusi kuitwa CHEUPE, mtu mfupi kuitwa TALL.
 
Back
Top Bottom