Wajuzi wa lugha wanisaidie

Bengazuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
1,029
Reaction score
1,236
nilikua nauliza swali lifuatalo "umahiri wa lugha haushabihiani" jadili
 
Kabla sijakujibu.. jaribu kutumia kiswahili viziri... ukisema ya kua ulikua unauliza swali inamaana unachanganya wakati uliopita na wakati uliopo...
 
Jibu la hilo swali lipo katika nyanja ku tano za lugha.... yaaani umahiri wa lugha haushabihiani kutokana na kuwepo kwa tofauti za kimaana... matamshi... msamiati..tofauti za kilahaja.. n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…