Karot
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 1,159
- 1,313
Habari za siku nyingi wapendwa wangu.
Ni mda mrefu sijaingia kwenye mtandao huu takribani miezi mitatu kama sikosei, naamini kuna vitu vingi vitamu ambavyo vilinipita bila mimi kuvipata. Ok; acha miende moja kwa moja kwenye mada.
Suala lenyewe ni kama ifuatavyo:
Kwamfano umechukua dola za kimarekani na kuja nazo Tanzania, kabla ya kubadilisha ukaenda kubadilishia kwa rate ya Kenya, swali langu je utakapokuja na zile pesa za Kenya rate itaongezeka kidogo au itapungua???