Wajuzi wa mabadilishano ya fedha naomba mnisaidie hapa.

Karot

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
1,159
Reaction score
1,313
Habari za siku nyingi wapendwa wangu.
Ni mda mrefu sijaingia kwenye mtandao huu takribani miezi mitatu kama sikosei, naamini kuna vitu vingi vitamu ambavyo vilinipita bila mimi kuvipata. Ok; acha miende moja kwa moja kwenye mada.
Suala lenyewe ni kama ifuatavyo:

Kwamfano umechukua dola za kimarekani na kuja nazo Tanzania, kabla ya kubadilisha ukaenda kubadilishia kwa rate ya Kenya, swali langu je utakapokuja na zile pesa za Kenya rate itaongezeka kidogo au itapungua???
 
Kama utanunua pesa ya Kenya kwa rate ya 2100Tsh alafu ukanunua dollar kenya kwa rate ya 99ksh. Ukazileta kuuza kwenye berue Tanzania utauza kwa rate ya 2235. Soo 99x21=2079. Dola 1 kenya no saw a na 2079tsh ukiiuza Tanzania faida ni 156 kwa kila dola 1, Kama umenunua dola 500$ faida ni 78000. Karibu mpakani
 
Mkuu ntakuja kujaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…