mmakonde mjanja JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 288 Reaction score 128 Jan 11, 2018 #1 nimependa hii gari MITSUBISHI OUTLANDER NAPENDA KUJUA KUHUSU MAFUTA NA UBORA Attachments 188901-15.jpg 68.3 KB · Views: 62 188901-3.jpg 73.8 KB · Views: 67
T trry JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 292 Reaction score 190 Jan 11, 2018 #2 Jiandae kwenda shel kila wakati
mmakonde mjanja JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 288 Reaction score 128 Jan 11, 2018 Thread starter #3 Duuuh
gidume JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 743 Reaction score 915 Jan 16, 2018 #4 Mimba io..ipo moja yard tumejaribu kila fundi haiendi zaidi ya gia namba mbili..
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Jan 18, 2018 #5 Msiba huu
gidume JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 743 Reaction score 915 Jan 18, 2018 #6 Competitor wa subaru hii..bora forester ina bei ndogo kwa hii na ina ubora zaidi..hii gari ni mbofu..nzuri body tu..ila ndani imetawala maplastic kila sehem..engine hamna kitu apo
Competitor wa subaru hii..bora forester ina bei ndogo kwa hii na ina ubora zaidi..hii gari ni mbofu..nzuri body tu..ila ndani imetawala maplastic kila sehem..engine hamna kitu apo