Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
Habar zenu wakuu..ndugu yenu Nina tatizo la kiafya huu Sasa ni mwaka wa Tisa...
Tatizo hili Lilianza mwaka 2010 nikiwa kidato Cha pili nikiwa shule mwili wngu ulianza kuwa na joto Kali Sana yaani napata homa flan kali mpaka mtu akinishika anashangaa kwann nachemka hivi.nikaanza kukonda na afya yangu ikawa inadhoofika siku Hadi siku...mara kwa mara niliokuw naenda hospital nilikuwa nakutwa na tyfhod,UTI au maralia hayo ndo yalikuwa magonjwa yngu Kila niendapo kupima...
Sasa ikafika wakati haipiti miezi miwili sjapima na kutumia dawa za magonjwa hayo,ndugu zangu nimekunywa Sana dawa za maralia UTI na typod yaan sanaa..wakat huo afya yngu ilikuw inaendlea kudhoofika Sana...ikafka wakti nkaamua kupimwa na maradhi makubwa Kama kisukari,presha,na HIV, Mara kwa Mara Kila nilipoenda hospital kupima ilikuwa lazma nipime na magonjwa hayo cjawahi kukutwa nayo...mpaka leo hii saiv karibu Kila mwez lazma niende hospital kupimwa na wakat mwngine sikutwi naugonjwa wowote lakin bdo najihis numwa,nadhoofika sna nakonda Sana na kiukwel Sina raha kabisa mwenzenu...Nina urefu wa sm.176 lakin uzito mdogo sana Jana nmepimwa Nina kilo 61.
Samahani kwa maelezo marefu ya kuchosha,naomba wajuzi wa mambo wanisaidie kwa ushauri wa kiafya nifanyeje ili niwe na afya njema mwenzenu.natanguliza shukrani