Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Pikipiki Super cub ya Honda/YAMAHA Kama hii pichani kwa Dar es Salaam zinapatikana maeneo gani na ni bei gani?
Inahitajika kwa ajili ya mizunguko ya kawaida na kubebea vitu vidogovidogo tu,
Sio kwa safari ndefu.
Naomba msaada wa taarifa wakuu.
Inahitajika kwa ajili ya mizunguko ya kawaida na kubebea vitu vidogovidogo tu,
Sio kwa safari ndefu.
Naomba msaada wa taarifa wakuu.